CHOMBO KWA HEWA: Wasafi FM yaanza kusisikika Dar Es Salaam, ni muziki kwenda mbele By Gody Godwin at November 04, 2018 No comments Kama upo Dar Es Salaam na ume-Tune Frequency za 88.9 FM na unasikiliza mixing za hatari basi jua kuwa hiyo ni redio mpya hapa mjini ya Wasafi FM.
No comments:
Post a Comment